Proverbs 1:22


22 a“Enyi wajinga, mtang’ang’ania ujinga wenu hadi lini?
Mpaka lini wenye mizaha watafurahia mizaha,
na wapumbavu kuchukia maarifa?
Copyright information for SwhKC